TUNAOMBA RADHI

Pangani Fm inaomba radhi kuwa haitakuwa inatoa taarifa kwenye ukurasa huu mpaka pale tutakapopata leseni ya usambazaji wa taarifa kwa njia ya mtandao.

Hii ni kwa mujibu wa utaratibu wa malipo uliowekwa na serikali kupitia wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo kwenye Electronic and Postal Communications (Online Content).

Tutaendelea kutoa taarifa pale tutakapopata lesini. Tunaomba radhi kwa kuwa chombo chetu kinaheshimu na kufuata taratibu za serikali na sheria za nchi zilizowekwa.

Asante.

Maimuna Msangi
Meneja
Pangani Fm

No comments

Powered by Blogger.