UNDANI WA ZIARA YA KIKWETE WILAYANI PANGANI





Rais mstaafu wa awamu ya
nne Jakaya Mrisho Kikwete amewaomba wataalamu kufanya tafiti katika bonde la
mto Pangani ili kurudisha hadhi ya kilimo cha Ndizi na Minazi wilayani humo ambacho
kimeathiriwa na mabadiliko ya tabia nch.

No comments

Powered by Blogger.