Watu wa wili wanafunzi na mwalimu wamefariki dunia hii leo wakiwa wanaogelea katika fukwe za kipumbwi Wilayani Pangani Mkoani Tanga
Pangani fm redio mchana huu imazungunza na Kamanda wa Polisi Wilaya ya Pangani OCD GEORGINA MATAGI ili kudhibitisha taarifa hiyo
“Ni kweli nimepokea taarifa kwamba kuna watu wamekufa kwenye maji lakini mpaka sasa tunatafuta taarifa kamili kwamba kulikua na watu wangapi isipokua kuna mwanafunzi mmoja anaitwa BILALI HAMISI anaumiri wa miaka 18 mwanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari kipumbwi na kuna mwalimu mmoja ambaye jina lake halijapatikana na umiri wake ambae anatokea moshi na chanzo cha ajali bado hakikujulikana”. Kamanda Matagi amesema
Kwa urefu wa taarifa hii tembelea ukurasa wetu wa Facebook: Panganifm107.7
No comments