ORODHA YA WASHINDI VIJIJI BORA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKATILI WA WAMAWAKE NA WATOTO


Shirika la uzikwasa lenye uzoefu wa muda mrefu katika masuala ya usawa wa kijinsia, na programu za mabadiliko ya kijamii Tanzania limetoa tuzo kwa vijiji kumi bora katika mapambano dhidi ya ukatili wa wanawake na watoto wilayani Pangani, Mkoani Tanga. Tamasha lililofanyika siku ya Jumamosi tarehe 15/06/2019.
Baada ya mchujo uliofanywa na wawezeshaji kutoka shirika la UZIKWASA vijiji vifuatavyo viliingia katika kumi bora. 1. KIMANG'A 2. MSARAZA 3. MSEKO 4. BWENI 5. MWERA 6. MBULIZAGA 7. MIKOCHENI 8. MWEMBENI 9. TUNGAMAA 10.MTONGA

No comments

Powered by Blogger.