MAFUNZO YA MINNA DADA CHACHU MABADILIKO





Mafunzo ya minna dada yanayotolewa na shirika la
Uzikwasa kwa kijiji cha Pangani Magharibi wilayani Pangani yameendelea kuleta
mabadiliko chanya  kutokana na baadhi ya
washiriki kujimulika wenyewe na kuimulika jamii katika changamoto zinazoikabili
na kupelekea kuamua  kuweka mikakati ya
utekelezaji.

No comments

Powered by Blogger.