PANGANI YAPAMBANA NA MAGENDO
Kamati ya ulinzi na usalama wilayani Pangani mkoani
Tanga kupitia Jeshi la polisi wilaya ya Pangani linawashikilia wanajeshi wawili
kutoka jeshi la wananchi kwa tuhuma za kushiriki katika biashara za magendo katika
maeneo mbalimbali mkoani tanga.

No comments