KIJIJI CHA MEKA NA MSEKO WATAKIWA KUSHIRIKIANA ILI KULETA MAENDELEO




Wananchi wakijiji cha Meka na Mseko wilayani PANGANI wametakiwa kushirikiana na kumaliza  tofauti zao   ili kuchochea maendeleo na kutatua  changamoto za kielimu zinaoikabili  jamii yao.

Hayo yameelezwa na meneja wa mawasiliano na kujenga mahusiano Bwana Joseph Peniel kutokea shirika la UZIKWASA wakati wa kambi ya Minna Dada inayofanyika kijiji hapo kwa muda wa siku tatu mfululizo.

No comments

Powered by Blogger.