UZIKWASA YAFANYA UFUATILIAJI KWA KAMATI ZA VMAC




Shirika la UZIKWASA leo limefanya Ufuatiliaji kwa kamati ya Kudhibiti Ukimwi Jinsia na Uongozi VMAC ya kijiji cha Madanga Wilayani Pangani, kwa ajili ya kufahamu changamoto na mafanikio kwa kamati hiyo baada ya miezi kadhaa kupita tangu kupatiwa elimu ya MGUSO.

No comments

Powered by Blogger.