KIJIJI CHA MEKA NA MSEKO WATAKIWA KUSHIRIKIANA ILI KULETA MAENDELEO
Wananchi wakijiji cha Meka na Mseko wilayani PANGANI
wametakiwa kushirikiana na kumaliza
tofauti zao ili kuchochea
maendeleo na kutatua changamoto za
kielimu zinaoikabili jamii yao.
Hayo yameelezwa na meneja wa mawasiliano na kujenga
mahusiano Bwana Joseph Peniel kutokea shirika la UZIKWASA wakati wa kambi ya
Minna Dada inayofanyika kijiji hapo kwa muda wa siku tatu mfululizo.
No comments