Shirika la UZIKWASA leo limefanya Ufuatiliaji kwa
kamati ya Kudhibiti Ukimwi Jinsia na Uongozi VMAC ya kijiji cha Madanga
Wilayani Pangani, kwa ajili ya kufahamu changamoto na mafanikio kwa kamati hiyo
baada ya miezi kadhaa kupita tangu kupatiwa elimu ya MGUSO.
No comments