MOTO WAZUA TAHARUKI PANGANI


Taharuki imezuka asubuhi ya leo baada ya Makumbi yaliyokuwa nje ya kiwanda cha kuchakata Makumbi kakilichopo eneo la Funguni kijiji cha Pangani mashariki eneo la Pangani mjini kuungua moto.

 Sehemu ya eneo ambalo moto huo ulijitokeza, ambapo Kamanda wa jeshi la polisi wilayani Pangani Bi Christina Musyani amesema kuwa wanaendelea kushirikiana na wananchi katika harakati za kuuzima moto huo, pamoja na kubaini chanzo chake.



Mmoja wa wananchi akibeba ndoo yenye maji kwa ajili ya kusaidia kuzima moto katika eneo la Funguni wilayani Pangani mapema leo Asubuhi.

Wananchi wakisaidia kuhamisha baadhi ya magunia yaliyokuwa karibu na eneo la hilo ili kuepusha madhara yanayoepukika.

Wananchi wakiendelea kuuzima moto.


No comments

Powered by Blogger.