UZIKWASA YAENDELEA KUTOA MAFUNZO WA UONGOZI WA MGUSO KWA KAMATI ZA KUDHIBITI UKIMWI ZA VIJIJI (VMAC).



Kamati ya kudhibiti Ukimwi ya kijiji cha Buyuni Wilayani Pangani  imeendelea kupatiwa mafunzo ya uongozi wa mguso yatakayoweza kuwajengea uwezo katika kuondoa mikwamo mbali mbali inayopeleka kukwamisha maendeleo katika kijiji hicho.

Wakizungumza wakati  wakipatiwa mafunzo  hayo wajumbe hao wamesema kuwa kutokana na mafunzo hayo wamegundua mbinu mbalimbali za kiuongozi pale panapotokea mkwamo katika ngazi zote za uongozi.

“hata kama mimi  ni kiongozi  nikiletewa  kesi  na takiwa  kusikiliza  kwa  makini  na kutoa maaamuzi maaamuzi sahihi kufata ushauri sio kukurupuka  tu  na pia  tusiwe na ubinfsi  ukija msaada  unajali familia yako”alisema mmoja wa wajume waliohudhuria mafunzo hayo.


No comments

Powered by Blogger.