UZIKWASA YAJA NA TOVUTI MPYA

Shirika la UZIKWASA limezindua rasmi tovuti yake ambayo inaonesha na kueleza shughuli mbalimbali zinazofanywa na shirika hilo lenye maskani yake wilayani Pangani.

Katika tovuti hiyo utapata nafasi ya kusoma taarifa muhimu zitokanazo na tafiti zinazofanywa na shirika la UZIKWASA kadhalika Filamu, Video Spot, na picha mbalimbali.

Tembelea sasa tovuti hiyo ambayo ni https://www.uzikwasa.or.tz/ ili upate uhondo huo.

No comments

Powered by Blogger.