IFAHAMU TOVUTI YA HALMASHAURI YA PANGANI
Kama zilivyo halmashauri nyengine hapa nchini, wilaya ya Pangani imekuwa ikikua kwa kasi katika masuala ya teknolojia ya habari na mawasiliano kila kukicha.
Sasa huitaji tena kuijua Halmashauri ya Pangani kwa kufata taarifa zake ofisini, bali unaweza kutembelea tovuti yao ambayo ni http://www.panganidc.go.tz ukapata kujua masuala mbali mbali ya kimaendeleo.
Fursa za uwekezaji, miradi ya kimaendeleo, Zabuni zinazotolewa na Halmashauri hiyo, Nafasi za kazi, habari za viongozi na ziara za kiserikali zinazofanyika Pangani pamoja na machapisho mbali mbali utayapata kupitia tovuti hii.
Hapa tumekuweka takwimu za haraka ambazo pia utazipata kupitia tovuti hiyo.
Hospitali Ya Wilaya = 1
kituo cha afya = 1
Zahanati = 16
Shule za Sekondari = 10
Shule za Msingi = 35
Tarafa = 4
Kijiji = 33
Kata = 14
Idadi ya Watu = 54025

No comments