UZIKWASA YAENDELEA KUTOA MAFUNZO WA UONGOZI WA MGUSO KWA KAMATI ZA KUDHIBITI UKIMWI ZA VIJIJI (VMAC).
Kamati ya kudhibiti Ukimwi ya kijiji cha Buyuni
Wilayani Pangani imeendelea kupatiwa
mafunzo ya uongozi wa mguso yatakayoweza kuwajengea uwezo katika kuondoa
mikwamo mbali mbali inayopeleka kukwamisha maendeleo katika kijiji hicho.
Wakizungumza wakati
wakipatiwa mafunzo hayo wajumbe
hao wamesema kuwa kutokana na mafunzo hayo wamegundua mbinu mbalimbali za
kiuongozi pale panapotokea mkwamo katika ngazi zote za uongozi.
“hata
kama mimi ni kiongozi nikiletewa
kesi na takiwa kusikiliza
kwa makini na kutoa maaamuzi maaamuzi sahihi kufata
ushauri sio kukurupuka tu na pia
tusiwe na ubinfsi ukija msaada unajali familia yako”alisema
mmoja wa wajume waliohudhuria mafunzo hayo.
No comments